Dereva na kondakta wa daladala alilopanda mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyeuawa juzi kwa kupigwa risasi na polisi wamesimulia mkasa ulivyokuwa.Akwilina alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shahada ya Ununuzi na Ugavi (Procurement and Logistics) katika chuo hicho, lakini maisha yake yalikatishwa juzi akiwa ndani ya basi la daladala.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.