Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Maulid Mtulia ametangazwa mshondi wa kiti cha Ubunge jimbo la Kinondoni kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika jana baada ya kupata kura 30,247 akifuatiwa na Salum Mwalimu wa Chadema aliyepata kura 12,353 #JembeHabari
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.