Katika mchezo huo, mabao ya Liverpool yametiwa kimiani na Emre Can (29'), Mohamed Salah (59'), Roberto Firmino (57') na Sadio Mane akipigilia msumari wa mwisho (77').
Bao pekee la West Ham limefungwa na Antonio (59').
Matokeo haya sasa yameipeleka Liverpool mpaka nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi, huku Manchester United ikishuka hadi nafasi ya 3.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.