ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, December 28, 2017

MWANAJESHI ANASAKWA NJOMBE KWA KOSA LA KUMUUA MWENZAKE KISA WIVU WA MAPENZI


NJOMBE
Jeshi la polisi  mkoani Njombe linamtafuta askari pc ZAKAYO DOTO kwa kosa la kumuua kwa kumpiga risasi askali wa jeshi la wananchi jwt anaye daiwa kuwa ni mchumba wake kwa kile kinachodaiwa ni  wivu wa mapenzi

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.