MKUU WA USALAMA BARABARANI MKOA WA MWANZA (RTO)KAMISHNA MSAIDIZI WA JESHI LA POLISI MAKADAM HAMIS MAKADAM AMEWATAKA WAENDESHA BOBADOBA WILAYNI SENGEREMA KUFUATA NA KUZINGATIA SHERIA YA USALAMA BARABARANI NA KUACHA KUJIINGIZA KATIKA MATUKIO YA UWALIFU
Akizungumza na waendesha bodaboda hao katika kikao
kilichofanyika katika shule ya wavulana Sengerema Sekondari RTO MAKADAM
amesema dhumuni la kikao hicho ni kuwa
karibu ili kuelimishana juu ya matumizi ya barabara ikiwemo kufuata sheria na
kwayeyeto atakaye kaidi atachukuliwa hatua
za kisheria.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.