Breaking News
Dr Antony Mwandu Diallo Ameshinda Nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akimpiku Aliekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar na Moshi Meck Sadick , Dr Diallo anarejesha kiti chake mara Nyingine Tena
Dr Antony Diallo Kura 555
Mh Meck sadick KURA 520
#Jembefm 93.7 Updates
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment