TIMU ya waandishi wa habari wa
mkoani Iringa imeingia kambini kujiwinda
na mchezo wa fainal kati ya bingwa wa mashindano ya Spanest cup,mchezo huo
utacheza katika uwanja wa Hifadhi ya Ruaha.
Wakizungumza na blog hii
viongozi wa timu hiyo walisema wapo
tayari kukabiliana na timu ya Itunundu maarufu kama sukari ya warembo.
Timu hii ya waandishi haijawahi
kufungwa katika fainali yoyote ile hivyo Itunundu wajipange
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.