Mgeni
Rasmi Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji, Mh. Charles Mwijage
akihutubia
waalikwa mbalimbali kuhusu fursa zinazopatikana katika uwekezaji. (OBOR
Initiative) katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Stanchart
bank jana,
Sanjay
Rughani akizungumza na wageni waalikwa katika hafla fupi ya chakula cha jioni
ambayo Standard Chartered Bank iliwaandalia wateja wake ambao ni wenyeji kutoka
China.
Bw.
Sun Chengfeng, Mkuu wa kitengo cha uchumi na biashara ambaye ni mwakilishi wa
China nchini Tanzania akizungumza na waalikwa katika hafla ya chakula cha jioni
iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam
Mgeni
rasmi Mh. Charles Mwijage Waziri wa viwanda,biashara na uwekezaji
akibadilishana mawazo na Bw, Chengfeng , Mkuu wa kitengo cha uchumi na biashara
ambaye ni mwakilishi wa China nchini Tanzania katika hafla ya chakula cha jioni
iliyoandaliwa na standard charterd bank
Wawakilishi
kutoka standard chartered bank china, pamoja na afisa mtendaji mkuu wa standard
chartered bank Tanzania wakimsikiliza kwa makini Mh. Waziri Mwijage.
Wakifuatilia
kwa makini hotuba ya mgeni rasmi,Bw Sanjay Rughani, Bw.Sun Chengfeng na
wawakilishi mbalimbali katika kitengo cha uchumi na biashara wanaoiwakilisha China
nchini Tanzania
Waalikwa
mbalimbali wakimsikiliza bi. Maggie Li alipokuwa akizungumza katika hafla ya
chakula cha jioni ambayo standard chartered iliwaandalia wateja wake wenyeji
kutoka nchini China
Afisa
mtendaji mkuu wa benki ya Standard Chartered Tanzania Bw. Sanjay Rughani
akizungumza na waandishi wa habari kuhusu OBOR initiative katika mkutano
uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency
Afisa
mtendaji mkuu wa Standard Chartered Bank Tanzania Bw. Sanjay Rughani (kushoto),
Bi. Maggie Li Mkuu wa kitengo cha biashara na mauzo katika benki ya Standard
chartered China(katikati), pamoja na Bw. Cleophas Ruhumbika ambae ni mwakilishi
wa katibu mkuu wa viwanda na uwekezaji (kulia). Wakizungumza na wanahabari katika
mkutano uliofanyika jana.
Vijana
kutoka kundi la Tanzania House of Talent (THT) wakitoa burudani kwa wageni na
waalikwa wa standard chartered bank katika hafla iliyoandaliwa katika hoteli ya
Hyatt Regency.
Burudani
kutoka kundi la THT ikiendelea
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.