ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, November 12, 2017

RAYVANNY KUHUSIKA NA KICK OFF PARTY NA JACK DANIELS MWANZA


Ni Muda wetu huu jicho kwa jicho na Party la Kijanja na La mvuto wake Ndani ya Rock City
MCHONGO Uko Hivi Tarehe 25 Nov 2017 mahali @theCaskbar&Grill
Jackdaniels Holiday Season ONe KICK OFF PARTY  Kwa Mara ya Kwanza ndani Ya Mwanza....With Live perfomance kutoka WCB's. @Rayvanny na Ma-Suprizes kibaao kutoka @jembenijembe @jembefm Huku kwenye Wheels of steels kundi bora la Djz kutoka @Jembefm JEMBEDJZ watakata Kiu ya Burudani Unakosaje sasa?? Mlangoni utaacha 10k powered by @vodacomTanzania @Coca_Cola @jembenijembe #jackDaniels ....
Get your ticket now.. 
Sikiliza 93.7 @Jembefm kwa Ma infozz.. zaidi wapi unaweza pata ticket yako... @wcb_wasafi @gsengoTv #wcb #Mwanza

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.