Kulikuwa na jumla ya vituo 43 ktk kata ya Mhandu mkoani Mwanza.
Jumla ya kura 4623 zimehesabiwa na matokeo ni kama hivi
1: Barahila Kassimu -ACT 22
2:Constantine Sima -CCM 2749
3:Godfrey Misana - Chadema 1842
4: Vailet John Ndandwe - Chauma... 08
5: Beatus Nyanda DP.. 02
Total votes 4623
Katika vituo 43
CCM imeongoza katika vituo 42 pekee huku chadema wakiongoza kituo kimoja tu
Utofauti wa kura za CCM na CHADEMA ni 907
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.