Makamu
wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. John Samwel
Malecela (mwenye kofia ya njano) akimuonesha Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt.
Binilith Mahenge mizabibu iliyopandwa kwenye shamba la Chinangali II
Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo
Mkuu
wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na ujumbe alioambatana nao
wakipata maelezo juu ya mashine ya kusukumia maji kwa ajili ya
umwagiliaji wa matone kwenye shamba la zabibu la Chinangali II Wilayani
Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.
Mkuu
wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na ujumbe alioambatana nao
wakikagua bwawa la kutunzia maji kwa ajili ya umwagiliaji wa matone
kwenye shamba la zabibu la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa
Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.
Mkuu
wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akikagua nyaraka na kusikiliza
kero za wananchi kwenye mkutano wa hadhara Kijiji cha Manzase Wilayani
Chamwino wakati wa ziara yake
Baadhi
ya Wananchi wa Kijiji cha Manzase Wilayani Chamwino wakimsikiliza Mkuu
wa Mkoa Dodoma Dkt. Mahenge (hayupo pichani) wakati alipofanya mkutano
wa hadhara kusikiliza kero za wananchi Kijiji hapo.
Mkuu
wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akikagua mradi wa ujenzi wa jengo
la Ghorofa moja la ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Chemba wakati wa
ziara yake wilayani humo.
Mkuu
wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na ujumbe alioambatana nao
akikagua chanzo cha chemichemi ya maji moto Mjini Kondoa, Chanzo hiko
kwa sasa ndio kinategemewa kwa huduma ya maji Mjini Kondoa.
(Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma Makao Makuu)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.