ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 22, 2017

VIDEO:- YANGA YAFANYA MAUAJI SHINYANGA.Yanga imeitwanga Stand United kwa mabao 4-0, Ibrahim Ajibu akiwa shujaa baada ya kufunga mabao mawili safi.


kabisa.Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Pius Buswita na Obrey Chirwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.