Mwenyekiti
wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji
Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe,
(aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao,
kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda
sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao
makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017
Mwenyekiti
wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji
Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe,
(aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao,
kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda
sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao
makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017. Kulia ni Katibu wa muda wa
kundi hilo, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya
Juu, (HELSB), Bw. Abdul –Razak Badru
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela, (kulia), akizungumza kwenye kikao hicho. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magzeti ya Serikali, (TSN), Dkt. Jim Yonazi, na Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean
Bwanakunu.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.
Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE,
Bw. Edwin Rutageruka.
Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE,
Bw. Edwin Rutageruka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi, (aliyesimama), akizungumza, |
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania, (TBS), Profesa Egid Beatus Mubofu,
akizungumza.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela |
Mtendaji
Mkuu wa DART, Mhandisi Bw. Ronald Lwakatare,, akipitia ajenda za kikao hicho.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.
Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa
TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.