ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 9, 2017

MKUU WA MKOA WA MWANZA JOHN MONGELA ATATUA MGOGORO WA ARDHI ULIDUMU MIAKA 13

NA ZEPHANIA MANDIA G.SENGO TV.

Mkuu wa mkoa wa mwanza JOHN MONGELA.amemuagigza mkurugenzi wa manispaa ya ilemela kumpatia mama huyo viwanja viwili baada ya kuhangaika zaidi ya miaka 13 katika  mtaa wa majengo mapya ambapo alifanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi wa wa bibi KIJIKO SHIMIZI,mwenye umri wa miaka 85  
.
Mkuu wa idara ya mipango miji manispaa ya ilemela ANNA MHAMBA anasema halamashuri ilithaminisha viwanja hivyo kwa kutumia sheria ya zamani iliyokuwa hamtambui mmiliki wa eneo.

Hatimae mkuu wa mkoa anatoa suluhu ya bibi huyu kupatiwa viwanja viwili katika maeneo hayo sambamba na kupewa hati miliki kwa gharama za halmashuri.

Zaidi ya hekari nne za bibi huyo zilichukuliwa na halmashuri ya wilaya ya Ilemela na kuuziwa wawekezaji huku bibi ambaye ni mmiliki wa eneo hilo akiachwa bila chochote

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.