Tuesday, September 12, 2017
HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto)
wakioneshwa na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Brigedia risasi
zilizotolewa kwenye mwili wa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba baada
ya kushambuliwa wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya
Kinondoni jijini Dar es salaam.
Matukio ya watu kushambuliwa kwa risasi nchini yanazidi kuongezeka hili
limekuwa ni tukio la pili kwa mwezi huu Septemba baada ya shambulizi la
kwanza lililompata Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu Septemba 7,
2017 akiwa mjini Dodoma, lakini pia Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliwahi
kutishiwa bastola na watu wasiojulikana.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.