02:-
Beki wa timu ya Ndanto Fc,Fidelis Yeo (kulia) akiwania mpira na
mshambuliaji wa Isange Fc, Hussein Thom, wakati wa mchezo wa Fainali za
'Tulia Cup' uliochezwa jana Sept 21, 2017 kwenye Uwanja wa Tandale
Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Katika mchezo huo Ndanto walishinda
kwa mabao 2-1 na kutwaa kombe hilo kwa mwaka huu 2017 na kitita cha sh.
milioni 1.5. Picha na Muhidin Sufiani
03:-
Wachezaji wa Isange Fc, Shadrack Kandrum (kushoto) na Hussein Thom
(kulia) wakimdhibiti Mandela Chaile, wakati wa mchezo wa Fainali za
'Tulia Cup' uliochezwa jana Sept 21, 2017 kwenye Uwanja wa Tandale
Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Katika mchezo huo Ndanto walishinda
kwa mabao 2-1 na kutwaa kombe hilo kwa mwaka huu 2017 na kitita cha sh.
milioni 1.5. Picha na Muhidin Sufiani
05:-
Beki wa timu ya Isange Fc, (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Ndanto
Fc, Julius Mtawala, wakati wa mchezo wa Fainali za 'Tulia Cup'
uliochezwa jana Sept 21, 2017 kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilayani
Rungwe Mkoani Mbeya. Katika mchezo huo Ndanto walishinda kwa mabao 2-1
na kutwaa kombe hilo kwa mwaka huu 2017 na kitita cha sh. milioni 1.5.
Picha na Muhidin Sufiani
06:- Luteni General,
James Mwakibolwa, akiongozana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Tulia Ackson, kukagua
timu ya Ndanto fc kabla ya mchezo wa fainali dhidi ya Isande Fc, katika
mchezo wa fainali wa 'Tulia Cup' kwenye uwanja wa Tandale Tukuyu
Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya. Picha na Muhidin Sufiani
11:-
Luteni General, James Mwakibolwa, akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya
Netiboli ya Kimo,Salome Sanyondo, baada ya kushika nafasi ya pili katika
fainali za 'Tulia Cup'kwenye uwanja wa Tandale Tukuyu Wilayani Rungwe
mkoa wa Mbeya. Picha na Muhidin Sufiani
13:-
Luteni General, James Mwakibolwa, akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya
Netiboli ya Wizara ya Mambo ya Ndani, baada ya kushika nafasi ya kwanza
katika fainali za 'Tulia Cup'kwenye uwanja wa Tandale Tukuyu Wilayani
Rungwe mkoa wa Mbeya. Picha na Muhidin Sufiani
14:-
Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Davis Mwamunyange, akimkabidhi Kombe Nahodha
wa timu ya Isange, Frank Asilih, baada ya kushika nafasi ya pili katika
fainali za 'Tulia Cup'kwenye uwanja wa Tandale Tukuyu Wilayani Rungwe
mkoa wa Mbeya. Picha na Muhidin Sufiani
15:-
Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Davis Mwamunyange, akimkabidhi Kombe Nahodha wa
timu ya Ndanto Fc, Peter Mwakingwa, baada ya kushika nafasi ya nafasi
ya kwanza na kutwaa kombe la fainali za 'Tulia Cup 2017' kwenye uwanja
wa Tandale Tukuyu Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya. Picha na Muhidin
Sufiani
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.