Ile barbershop 'matata' jijini Mwanza inayokwenda kwa jina la Hasfu Barbershop, inayopatikana pande za Misheni Kirumba jijini Mwanza barabara ya Penda hatimaye imetimiza mwaka mmoja sasa.
Wadau wafanyakazi wa barbershop hiyo wamekutana katika hafla fupi iliyofanyika The Cask jijini hapa na kupata chakula, muziki mkaliii toka Jembe DjZ, mvinyo kidogo na ku-share matukio kadhaa muhimu kwa kumbukumbu ikiwa ni pamoja na kuhamasishana kuendeleza moto wa kuwahudumia kwa wateja kwa kiwango cha juu kama ilivyo jadi.
Wafanyakazi wa Hasfu Barbershop wakikata keki.
Kata kata......
Woyoooooo........!!
Mkurugenzi wa Hasfu Barbershop Mr. Hamis akilishwa keki na mmoja wa mamemba wa naohudumiwa na kitega uchumi chake hicho kinachotimiza mwaka sasa katika utoaji huduma.
One of the sisters......
Nawe onja utamu wake.
Nyakati za mboga saba na kujisevia.
Chakula kitamu pande za The Cask Mwanza Tanzania.
The menu mezani.
Hafla ilifana sana.
Ikisaotiwa na mazingira mazuri hafla ilinoga sana.
Ni mwendo wa kugonga glass...
ChiaaaaaaaaaZ.....!!
Flowers.
Ni mwendo wa kugonga glass...
ChiaaaaaaaaaZ.....!!
Flowers.
Huduma zikiendelea na utunzaji wa kumbukumbu ulifanyika 'haflani'
HAPPY BIRTHDAY HASFU BARBERSHOP
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.