BEIKI wa Simba U20, Jacob Jalala (kulia) akichuana kuwania mpira na
mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Mohamed Rashid, wakati wa mchezo wa
Hisani wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa jana Julai
28, 2017 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo
Tanzania Prisons ilishinda kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo huo
kumalizka dakika 90 kwa sare ya 1-1. Picha na Muhidin Sufiani
BEKI wa Tanzania Prisons, Michael Ismail (kushoto) akijaribu kumpita mchezaji wa Simba U20, Rashid Juma, wakati wa mchezo wa Hisani wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa jana Julai 28, 2017 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo huo kumalizka dakika 90 kwa sare ya 1-1. Picha na Muhidin Sufiani
BEIKI wa Simba U20, Abdallah Rashid (kulia) akichuana kuwania mpira na mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Kassim Hamis, wakati wa mchezo wa Hisani wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa jana Julai 28, 2017 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo huo kumalizka dakika 90 kwa sare ya 1-1. Picha na Muhidin Sufiani
KIPA wa Tanzania Prisons, Aron Kalambo, akiokoa moja ya hatari langoni kwake wakati wa mchezo wa Hisani wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa jana Julai 28, 2017 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo huo kumalizka dakika 90 kwa sare ya 1-1. Picha na Muhidin Sufiani
WACHEZAJI wa Tanzania Prisons, wakimdhibiti mshambuliaji wa Simba U20, Abilay Issa, wakati wa mchezo wa Hisani wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa jana Julai 28, 2017 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo huo kumalizka dakika 90 kwa sare ya 1-1. Picha na Muhidin Sufiani
MSHAMBULIAJI wa Simba U20, Said Hamis (kulia) akichuana kuwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, Sharif Shaban, wakati wa mchezo wa Hisani wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa jana Julai 28, 2017 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo huo kumalizka dakika 90 kwa sare ya 1-1. Picha na Muhidin Sufiani
BEKI wa Simba U20 Erick Costantine (kulia) akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Cleophace Anthony, wakati wa mchezo wa Hisani wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa jana Julai 28, 2017 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo huo kumalizka dakika 90 kwa sare ya 1-1. Picha na Muhidin Sufiani
MCHEZAJI wa Simba U20, Abilay Issa (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, Sharif Shaba, wakati wa mchezo wa Hisani wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa jana Julai 28, 2017 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo huo kumalizka dakika 90 kwa sare ya 1-1. Picha na Muhidin Sufiani

TIMU
ya Vijana wa Simba chini ya umri wa miaka 20, jana walishinda kuungana
na wenzao wa Yanga katika fainali ya Mechi za Hisani kuchangia Mfuko wa
Udhamini wa UKIMWI baada ya kufungwa na Tanzania Prisons kwa mikwaju ya
penati 6-5 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu wa
Sokoine jijini Mbeya.
Kipindi
cha kwanza kilimalizika kwa timu zote kutoka uwanjani bila kupata bao,
huku timu zote zikicheza kwa taadhari na kufanya mashambulizi ya
kushitukiza.
Katika mchezo huo Simba ndiyo
walikuwa wa kwanza kupata bao katika dakika ya 69 kupitia kwa
mshambuliaji wake, Dadi Mbarouk, baada ya kuwatoka mabeki wa Tanzania
Prisons Aron Kalambo, aliyekuwa ametoka golini akijaribu kuwahi kumzuia
na kupishana na mpira uliotinga wavuni.
Bao la
kusawazisha la Tanzania Prisons, lilifungwa na Kassim Hamis, kwa mkwaju
wa penati katika dakika ya 79, baada ya mchezaji wa Simba U20, kuunawa
mpira ndani ya eneo la hatari na kufanya dakika 90 kumalizika timu hizo
zikiwa sare kwa kufungana 1-1.
Baada
ya sare hiyo timu hizo zilikwenda katika hatua ya matuta, ambapo
zilipigwa jumla ya penati 8, na Tanzania Prisons wakikosa 2 na kupata
penati 6 na Simba wakikosa 3 na kupata penati 5.
Simba
wameungana na wenzao Mbeya City Kikosi cha kwanza ambao walitolewa na
Kikosi cha Yanga U20 kwa kukubali kichapo cha mabao 3-0 katika mechi
hizo za Hisani zilizoandaliwa na Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi
Tanzania TACAIDS, na kushirikisha jumla ya timu Nne za Yanga U20 na
Simba U20 kutoka jijini Dar es Salaam, Mbeya City na Tanzania Prisons
vikosi vya kwanza Ligi Kuu Bara.
Mchezo wa fainali unachezwa leo jioni kwenye Uwanja huo wa Sokoine kati ya Yanga U20 na Tanzania Prisons.
Akizungumzia
matokeo hayo Kocha wa Simba U20, Nico Kiondo, alisema kuwa kwa upande
wao hali ya hewa ilichangia kwa kiasi kikubwa kupata matokeo hayo lakini
pia maandalizi yao hayakuwa ya kutosha kwani wachezaji wengi ni wageni
ndani ya Kikosi chao.
''Kwa kweli hali ya hewa
imetugharimu kupoteza mchezo wa leo lakini pia hatukuwa na mazoezi ya
kutosha kabla kwani wachezaji wengi ni wageni waliojiunga na timu msimu
huu''. alisema Kiondo
Kwa
upande wake Kocha wa Tanzania Prisons, Abdalla Mohamed, alisemakuwa
timu yake imejitahidi kupata matokeo hayo japo imecheza na kikosi cha
pili cha Simba kutokana na timu zote kucheza kwa uangalifu kwani
hawakuwa na maandalizi ya kutosha baada ya usajili wa wachezaji wapya
ambao wengi wao ndiyo walicheza ili kuwajaribu ili kuona mapungufu, huku
wengine wakitarajia kucheza katika mchezo wa leo dhidi ya Yanga.
''Nimeona
mapungufu kwa wachezaji wangu na hasa kwa safu ya ushambuliaji,
nitayafanyia kazi ili kupata matokeo mazuri katika mechi zijazo kwani
wachezaji wangu wengi ni wageni ambao tumewasajili msimu huu bado
hawajazoea hali ya hewa, na wengini nitawajaribu katika mchezo wa leo
dhidi ya Yanga''. alisema Mohamed
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.