Pigo
la nguvu CUF,UKAWA,madiwani 3 Hai waikimbia CHADEMA, Makinikia
yaivuruga Acacia,pigo zito upinzani, Zitto amkubali JPM, vigogo hawa
kumtoa Lissu keko.
Serikali
yapigilia msumari udahili, Makonda awatumbua maafisa 12 elimu kata 12,
Chisano kutua mzigo wa JPM, Majaliwa azicharukia taasisi za vyuo vikuu.
Pata dondoo za magazeti ya leo hapa;
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.