ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 23, 2017

NCHI HII IMEPIGA MARUFUKU UVUTAJI SIGARA.

Serikali ya Ufilipino yatangaza kupiga marufuku uvutaji sigara kote nchini baada ya rais  Rodrigo Duterte kutia saini sheria hiyo mpya .

Sheria hiyo mpya itazuia wavutaji sigara kufanya hivyo hasa katika maeneo ya umma kote nchini .

Mwanzo kabisa rais Duterte alianzisha maarufuku ya sigara mjini Davao  alipokuwa meya .

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.