NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOTV
Kampeni ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ya kumtua mama ndoo kichwani, matunda yake yamezidi kuonekana na kushika kasi mara baada ya Mbunge wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza Shanif Mansoor, kuitikia msukumo huo kwa kuwakabidhi Wananchi wa jimbo lake jumla ya visima 11 huku akivifanyia ukarabati visima 13.
Si haba pata pia nafasi kuifahamu miradi mingine iliyozinduliwa ikiwa ni pamoja na kuiboresha sekta ya elimu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.