Wakala wa Finca Express Grace Kimaro akiwa anamsajili mteja mpya wa Finca kwa kutumia Tablet katika banda lao mapema jana katika maonesho ya sabasaba.Jijini Dar es salaam. |
Wafanyakazi wa Finca Microfinance Bank wakitoa maelezo kwa mteja aliyefika katika banda la FINCA kufungua akaunti Mapema jana katika maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es salaam. |
Wateja waliofika katika banda la Finca Microfinance Bank wakipata maelezo jinsi ya kufungua akaunti na huduma za mikop zinazotolewa na Benki,Mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es Salaam. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.