ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, July 8, 2017

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAFURIKA KATIKA BANDA LA UBER NA KUJIUNGA NA HUDUMA

Wafanyakazi kampuni ya Uber Godfrey Mabula na Ibrahimu Kunguya wakitoa maelezo kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam waliofurika katika banda kujua jinsi Program ya Uber inayorahisisha usafiri  wa kutumia teknolojia ya kisasa na gharama nafuu pia wateja wote waliopakua Program hiyo walipata punguzo la kiasi cha 8200Tsh  kwa safari yao ya kwanza.Mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.

Mfanyakazi wa Uber Ibrahim Kunguya akimsaidia mteja jinsi ya kutumia Program ya uber ambayo imekuwa msaada  kwa wakazi wa jiji la Dar kusaidia kurahisisha usafiri kwa njia ya kiteknolojia ,Mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar Es Salaam.

Balozi wa Uber akimsaidia mteja jinsi ya kupakua na kutumia program ya Uber katika banda lao katiika maonesho ya sabasaba mapema jana Jijini Dar es salaam.



Wateja waliofika katika banda la uber wakipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Uber Jinsi ya kupakua na kutumia Progamu ya Uber ambayo inarahisisha usafiri na kwa gharama nafuu,Mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.

Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakipata maelekezo jini ya kujiunga na programu ya Uber katika maonesho ya sabasaba mapema jana Jijini Dar Es salaam.

Bango linaloonyesha jinis ya kuipata program ya  Uber katika APP store na Google play na kutumia kutumia usafiri kwa bei nafuu na kwa kisasa zaidi .



Balozi wa Uber akitoa maelekezo kwa  mteja aliyefika katika banda lao ambapo pia wateja walijipatia punguzo la kiasi cha 8200 Tsh mara baada ya kupakua na kutumia program ya uber katika kuagiza usafiri kwa bei nafuu na kwa teknolojia ya kisasa mapema jana katika maonesho ya saba saba.

Huduma zikiendelea kutolewa katika banda la Uber mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.