Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr Mashinji Leo amezungumza na Waandishibwa Habari Jiji Dar es Salaam.
Dr Mashinji amesema kuwa chama kipo kwenye majonzi makubwa sana baada ya
kuondokewa na mwasisi wa chama hicho mzee Ndesamboro na Chama kimeamua
kupeperusha Bendera za chama nusu mringoti nchi nzima.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.