Mshambuliaji wa Singida Utd, Nhivi Simbarashe (wa pili kulia) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa AFC Leopards, Joshua Mawira, (kulia) wakati wa mchezo wa fungua dimba mashindano ya SportPesa Super Cup, yaliyoanza leo kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) ni Marcus Abwao. Picha na Muhidin Sufiani

Wachezaji wa AFC Leopards, wapigwa na butwaa baada ya kufungwa bao katika dakika ya 10 kipindi cha kwanza.
Mchezaji wa Singida United, Mtasa Wisdom, akiruka kuokoa katikati ya wachezaji wa AFC Leopards.
Hatari langoni mwa AFC Leopards
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.