Siku mbili tu baada ya kuondoka kwa nyota wa zamani wa Manchester
United, David Beckham ambaye alikuja nchini kwa utalii akiwa na familia
yake, Tanzania imepata ugeni mwingine.
Safari hii ni Mamadou Sakho, beki wa Liverpool raia wa Ufaransa ambaye yuko mjini Arusha kwa utalii.
Sakho na ambaye anakipiga Crystal Palace kwa mkopo, naye yuko
mapumzikoni na amechagua mbuga za wanyama za Tanzania kwa kazi yake
hiyo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.