Shakhsia mbalimbali wa Kiislamu nchini Kenya,
wameitaka serikali kuwahakikishia Waislamu usalama wa kutosha ndani ya
mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya serikali hiyo kuondoa hali ya hatari
katika maeneo ya mpakani na Somalia.
Viongozi
hao wa Kiislamu wameionya serikali kutumia suala hilo kwa ajili ya
kujisafisha katika kampeni za uchaguzi, huku wakisisitiza kuwa, uhuru wa
kufanya ibada na uhuru kwa ujumla ni haki ya kila Mkenya na sio zawadi.
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment