Makamu wa Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini, Jane Mihanji, akizungumza hii leo kwenye Kongamano la Wanataaluma na Wadau wa Habari kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Kilele cha Maadhimisho hayo ni kesho Mei 03,2017 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakfu wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), Ernest Sungura, akiwasilisha mada hii leo kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Mtaalamu wa masuala ya teknolojia nchini, Innocent Mungy, akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Mwanasheria na Mwanataaluma ya Habari, James Marenga, akichangia mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Makampuni ya Sahara Media Group, Dkt.Antonny Diallo, akichangia mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini (Tanzania Bloggers Network TBN), Joachim Mushi, akichangia mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Mwanataaluma ya habari nchini, Flora Magabe, akichangia mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Mmoja wa wanataaluma ya habari nchini, akichangia mada kwenye kongamano hilo
Mwenyekiti wa Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, Salome Kitomari, akifuatilia kwa umakini kongamano hilo.
Afisa Habari na Utafiti kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, Gasirigwa Sengiyumva, akiwa kwenye kongamano hilo
Mkurugenzi wa UTPC, Abubakar Karsan (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Sahara Media Group, Dkt.Antonny Diallo (kulia), kwenye kongamano hilo.
Wanataaluma na wadau wa habari wakiwa kwenye kongamano hilo
Wanataaluma na wadau wa habari wakiwa kwenye kongamano hilo, ambapo kulia ni Mwenyekiti Mstaafu wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, Simon Berege.
Afisa kutoka Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Hilda Kileo akiwa kwenye kongamano hilo.
Wanataaluma na wadau wa habari wakiwa kwenye kongamano hilo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.