Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamadi Amour amekataa
kuzindua mradi wa Bwalo la chakula la shule ya msingi Lilondo iliyopo
Halmashauri ya wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma. Taarifa iliyosomwa na
Mwalimu mkuu wa shule hiyo Agnes Amlike inaonyesha kuwa kuwa jingo hilo
lilianza kujengwa mwaka 2015 ,hali
Maji bwawa la Mindu ni Salama - Bonde la wami Ruvu
-
Na Farida Mangube Morogoro
Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu imewatoa hofu wakazi wa Manispaa ya
Morogoro kuwa maji ya Bwawa la Mindu ni salama, kwani ke...
0 comments:
Post a Comment