ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 30, 2017

Ivan Don Azikwa na Mamilion ya Pesa Kaburini

 KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... Pesa zaidi ya Milioni 30 zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya jeneza lenye mwili wa marehemu kuwekwa....!! 

Ni balaaaaa..... RIP IVAN DON ila ingekuwa hapa bongo ingebidi hilo kaburi lilindwe hata miezi mitatu mpaka hizo pesa ziharibike kwa joto maana la sivyo watu wangemfukuaje!..yaani asubihi mapemaaa.... mwili ungekutwa pembeni watu wamesepa na 'ngawira' 

Kwa uchumi upi, shida zilivyo nyingi kiasi hiki, wengine wakikosa hata mkate wa siku, watoto wakipata maradhi kwa kukosa lishe bora, duh hii si laana kabisa?

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.