JPM akiwa na Sirro. |
Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Kamanda wa Polisi wa Kanda
Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro, kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi
(IGP).
JPM akiwa na Mangu. |
Taarifa iliyotolewa na Ikumu muda mfupi uliopita inasema aliyekuwa IGP, Ernest Mangu, atapangiwa kazi nyingine.
Taarifa iliyotolewa na katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi,
inaeleza kuwa Sirro ataapishwa kesho Jumatatu ya Mei 29, 2017 saa 3.00
asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.