Magufuli
atoa ajira kwa madaktari 258, Usalama wa taifa wazuiwa Bungeni,
Daladala yagonga treni Dar mmoja afariki, Mtei amfurahia rais Magufuli.
Spika Ndugai aagiza hotuba za upinzani Bungeni zifuatiliwe, Madaktari
258 Kenya waajiriwa Tanzania, Wabunge wahofia njaa. Habarika na dondoo
hizi za magazeti ya leo hapa.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
0 comments:
Post a Comment