TAMISEMI yabeba 20% ya bajeti kuu, Mauaji ya polisi yazidi kutikisa
Bunge, Wapinzani wasema waliotumbuliwa wanalipwa Sh. Ml. 480
kwa mwezi.
Watumishi 13,369 wafyekwa, Msichana aliyekufa adaiwa kufufuka, Utekaji
ulivyofunika bajeti ya waziri mkuu, Pointi 3 zabaki Simba. Pata kwa
undani wa yaliyojiri katika magazeti ya leo hapa.
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment