Paul Ibrahim Mwilombwa ni Kijana
anayeishi Mkoa wa Geita Wilaya ya Chato, ni mlemavu wa viungo na mwenye
kujishughulisha na maswala ya upigaji picha na mambo ya 'Graphic Design'. hapa anaelezea historia yake na kuwaomba
msaada watanzania ili apate kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.