IRINGA: Basi la Abood lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam
limeligonga kwa nyuma basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Mbeya
kwenda Dar es Salaam kwenye milima ya Kitonga ambapo basi hilo liligonga
lori la mizigo aina ya Fuso.
Katika tukio hilo mabasi hayo mawili yalitumbukia kwenye korongo lakini taarifa ya kifo au majeruhi bado hazijapatikana.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.