Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa England na klabu ya Livepool, John
Barnes (katikati) akiwa ameshika jezi ya timu ya taifa ya Tanzania baada
ya kuwasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini
Dar es Salaam leo kwa ajili ya maazimisho ya miaka 100 ya benki ya
Standard Chartered ambayo ni wadhamini wakuu wa klabu ya Liverpool.
Smile la heshima toka kwa John
Barnes (katikati) baada ya kutunukiwa jezi ya timu ya taifa ya Tanzania
Selfie ya wadau wa Liverpool na Standard Chartered katika uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Picha ya pamoja wadau wa Liverpool na Standard Chartered katika uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mapokezi ya John Barnes.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.