Rais Magufuli, leo March 2, 2017 ameanza ziara ya kikazi ya siku 4
kwenye mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara, atafungua miradi ya maendeleo.
Katika ziara hiyo Rais Magufuli atafungua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara.
Leo asubuhi ameweka jiwe la msingi la kiwanda cha kutengeneza vigae
(Tiles) cha Tanzania Goodwill Ceramic Tiles Ltd kilichopo Mkuranga
mkoani Pwani na emeelekea mkoani Lindi.
Kesho ataendelea na ziara yake mkoani Lindi na keshokutwa ataelekea Mtwara.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.