ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 15, 2017

WAFUGAJI HARAMU WACHOMEWA NYUMBA ZAO.

Jeshi la polisi mkoani Kagera linawashikilia watu 4 wakiwemo viongozi wa kijiji kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba za wafugaji haramu

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.