ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, February 23, 2017

SIMU ALIYOKUWA AKITUMIA HITLER YAPIGWA BEI DOLA 240,000

SIMU iliyokuwa ikutumiwa na kiongozi wa Kinazi wa Ujerumani, Adolf Hitler, wakati wa vita vya pili vy dunia, imeuzwa kwa dola 240,000 katika mnada uliofanyika nchini Marekani. Bei ya chini ilianzia dola 100,000 na hatimaye kununuliwa na mtu aliyekataa kutajwa jina kwa dola 243,000.

Simu hiyo iliyoandikwa jina la Adolf Hitler, ilipatikana katika handaki la mjini Berlin, alimokuwa amejificha Hitler wakati wa vita vya pili,1945.

Chanzo DW

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.