ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 20, 2017

Magazeti 20.02.2017 MBOWE HATAKWENDA POLISI, MTANDAO WA DAWA ZA KULEVYA WAIBUA HOFU


Wanasheria Chadema: Mbowe hatakwenda polisi, Mtandao wa dawa za kulevya waibua hofu, Siyanga amkosoa Makonda. Majaliwa akerwa na kiwanda cha Minjingu, Wauza unga waja na mbinu mpya, Utajiri wa Makonda washtua Mashekhe.

Habarika na dondoo hizi za magazeti ya leo hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.