Waziri wa Habari, Nape Nnauye amedai kuwa mbinu zilizotumiwa na RC
Makonda kupambana na biashara ya dawa za kulevya zina kasoro kubwa.
Akizungumza 28 feb 2017 katika mahojiano maalumu na kipindi cha Dakika 45
kinachorushwa na televisheni ya ITV Nape Amehoji kuwa inawezekanaje
kumtaarifu muuza dawa za kulevya kuwa unataka kumkamata?
Aidha Waziri Nape amesema kuwa wazo la kupambana na dawa za kulevya alilianzisha yeye na alikuwa anapanga kulipeleka bungeni.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.