ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, January 11, 2017

TANZANIA KUPEPERUSHA BENDERA KATIKA AFCON KIVINGINE.

Mwanamuziki Diamond Platnumz hii leo amekabidhiwa bendera ya Tanzania na Waziri wa Habari sanaa na michezo Mhe. Nape Mnauye ili kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya AFCON2017 yanayofanyika nchini Gabon ambapo atatumbuiza kabla ya mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa mashindano hayo akiwa na mkali mwingine kutoka nchini Afrika ya Kusini Mahombi .

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.