Bondia Mfaume Mfaume kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni mratibu wa mpambano uho Chese Masanja. |
Bondia Mfaume Mfaume kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano waop wa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni maratibu wa mpambano uho Chese Masanja Picha na SUPER D BOXING NEWS |
MABONDIA Mfaume Mfaume na Mohamed Matumla wametambiana mbele ya wahandishi wa habari wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Feb 5 utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa
Akizungumza mbele ya wahandishi wa habari mratibu wa mpambano uho Chese Masanja amesema mahandalizi yote yapo sawa na mabondia wapo katika morali ya mchezo yani ata wakiambiwa wapigane leo wanapigana kwa kuwa wapo fiti
aliongeza kwa kusema matangazo ya barabaradi yashanza kufanyika yani road show kwa ajili ya kutanzanza mpambano uhu arikadharika matakazo ya kwenye nguzo mbalimbali yani posters tiali zisha sambaa karibu ya Dar es salaam nzima na pembezoni mwa Dar es salaam
aliongeza kwa kusema mbali ya mpambano wa mabondia Mfaum,e Mfaume na Mohamed Matumla kutakuwa na Mapambano mengine ya kukata na shoka
Bondia Ranmadhani Shauri wa Dar atazipiga na Meshack Mwankemwa wa Mbeya nae Zumba Kukwe wa Kibaha Maili Moja ataoneshana umwamba na Ibrahimu Maokola
wakati mabondia wanaokuja juu zaidi katika mchezo wa masumbwi kwa sasa Iddi Mkwela atazipiga na Manyi Issa mpambano wa raundi kumi kumasliza ubishi wa nani zaidi ya mabondia hao ambapo Mkwela anafundishwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na Issa anaefundishwa na Amos Martin Nkondo kutoka Mbezi Conetion
Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.