ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 16, 2017

HIZI HAPA Selection ZA VYUO VIKUU ZILIZOTOKA.

Walioomba Diploma na vyeti  kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)  wanaweza kutazama kama wamepata vyuo au la kwa kuingia kwenye mfumo wa CAS wa Nacte.

==> Bofya hapa  kuangalia   <<Selection Status >> 

NB:  Tumia username yako na password

==> Kwa wale Form six walioomba kupitia TCU, Selection zilikuwa zinaonekana kupitia   http://cas.tcu.go.tz/cas_core/check_results, lakini kwa sasa link imekuwa deactivated na wame iredirect  kwenye homepage ya CAS ya TCU ( http://cas.tcu.go.tz/

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.