Ajali mbaya imetokea maeneo ya Mswiswi Mbeya ajali imehusisha magari 3 moja Basi kampuni ya Taqwa ikitokea Dar kuelekea na Fuso lilikuwa limebeba ndizi ikitokea Mbeya.
Chanzo cha Ajari ni Fuso ilikuwa ina Overtake lori Mara Basi nayo ilikuwa imeshafika ndipo ajali ilipotokea Dereva wa basi alifariki dunia pamoja na dereva wa fuso na tingo wake majeruhi walipelekwa Hospital lakini mpaka Sasa Hospital wamefariki watu wawili mwanamke mmoja na mwanaume mmoja wote raia wa nchi ya Demokrasia ya watu wa Congo.
M/mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi AMIN
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.