Kutoka Mwanza Kanda ya ziwa nchini Tanzania wanaitwa AIC Buzuruga pata kushuhudia kazi yao mpya Mwanadamu. Zaidi sikiliza kila jumapili saa moja asubuhi hadi saa nne Jembe Gospel ya Jembe FM hapo ndipo himaya ya muziki huu.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2...
0 comments:
Post a Comment