Meza kuu. |
Khalid Bitegeko (kulia) ni Afisa Michezo jiji la Mwanza akiwa na Afisa Michezo wilaya ya Ilemela (kushoto). |
Mc Seki shughulini. |
Burudani ya utangulizi ilisanukishwa na Dogo Dee. |
Dogo Dee part two. |
Kwa utulivu wanafunzi toka shule mbalimbali macho kwenye mchezo. |
Wanafunzi hawakutaka kuwa nyuma kushiriki siku hii ya kumbukumbu ya mwenzao. |
Msanii Sajna aliwakosha wahudhuriaji na kazi zake. |
Wanafunzi walionesha vipaji. |
Kwa stage... |
Macho mbele... |
Kiduku kikipata tabu. |
ShangwezZZ. |
BAADA YA BURUDANI MTANANGE:- NYAMAGANA Vs ILEMELA
Naibu waziri wa Habari, utamaduni na Michezo Anastazia Wambura akitoa neno kwa wachezaji. |
Ilemela wakitoa salamu kwa Nyamagana. |
Ilemela. |
Nyamagana. |
Bonge la chenga... mchezaji wa Nyamagana akifanya yake. |
Hatari langoni mwa Nyamagana |
Mbaki Mutahaba ambaye ni Mkurugenzi wa The Footbal House (TFH ) kituo kilichomlea marehemu Ismail Halfan akizungumza na Gsengo Blog. |
Khalid Bitegeko (kulia) ni Afisa Michezo jiji la Mwanza (kushoto) akizungumza na Gsengo kupitia Jembe Fm. "Licha ya mchezo huu kuwa kumbukumbu na kumthaminisha mtoto wetu aliyetangulia mbele za haki pia mchezo huu tunaufanya kama maandalizi kwa wanafunzi kuelekea mashindano ya Umiseta na Umishumta yatakayoanza mapema mwezi wa pili na watatu" |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.