What Happens To Queen Elizabeth's Fortune When She Dies
- Maswali mengi yamezuka mara baada ya taarifa kupenya kuhusu hali ya shaka juu ya afya ya Malkia Elizabeth.
Malkia Elizabeth alishindwa kuhudhuria misa ya Sikukuu ya Krismasi na taarifa kutoka kwenye familia yake zilisema kwamba Malkia hakuweza kufika kwenye misa hiyo iliyofanyika Sandringham na kuhudhuria na watu wengi kwa sababu ya hali ya hewa kuwa na baridi kali, suala ambalo wengi walibaki na utata.
Wakiwa na shauku ya kusikia hata sauti yake kupitia video akitoa salamu za kheri ya Krismasi, watu walitaka kujua ni kwa nini Malkia hajafika kwenye misa hiyo kama kawaida yake, lakini walijibiwa jibu lile lile kwamba tatizo ni baridi kali.
‘‘Malkia anawatakia Krismasi njema na ameshindwa kufika hapa kwa sababu ya baridi kuwa kali,” ilisema taarifa ya familia.
SWALI JUU YA SWALI
Kutokana na Taifa la Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa nchi za Ulaya (UROPA UNION) na kushindwa kupata mshirika mwingine aliyejiengua Jeh...Uchumi wa Uingereza utayumba baada ya Malkia?
Lakini wataalamu wengine wa uchumi wanadai kwamba:- Kuna dalili za wazi kufufuka tena kwa kishindo kwa himaya ya Uingereza tena kwa muda mfupi tu lakini ni suala ambalo bado lina shaka ndani yake.
Ni wazi kwamba King Charles ndiye atakaye twaa madaraka baada ya Malkia lakini baadhi wanasema hili suala kama litawaathiri kisaikolojia wananchi wengi wa Uingereza kwani wengi tangu wamezaliwa hadi kukua na kuzeeka wamezoea kumuona Malkia akisimama mbele kama kiongozi wao.
Dhahir wa shair wapo wengi wanaoponda utajiri wa Malkia na familia yake wakisema ni watu wanao kula bure bila kazi, himaya ya utajiri bila kujishughulisha, wakiwataja kama ni wanyonyaji wanao tukuzwa kwa minyororo waliyo wavisha watu toka enzi na enzi na wakisema sasa ni wakati wa kukoma. Hivyo warudishe fedha kwa raia na familia masikini waliowadhulumu.
UCHUMI BINAFSI NA MENGINEYO
England's Queen Elizabeth is very, very rich. So just how rich she is? She makes American billionaires Michael Bloomberg and Facebook founder Mark Zuckerberg seem like Average Joes.
Queen Elizabeth recently made the unusual decision to skip Christmas Day church services, after suffering from a bad head cold for several weeks. The palace has said there is nothing to worry about it, but if the queen was nearing her final days, she would have a lot of money to comfort her and pass on to her heirs.
Queen Elizabeth is the world's longest serving royal and during her many decades on the throne she has put away a massive fortune in part because of growing land and real estate values in the United Kingdom. Her nominal assets were worth about 22.8 billion pounds, or $34.8 billion, in 2015, Reuters reported.
But the queen's riches are a little more complicated than they might sound. The Crown Estate, with a capital value of 11.5 billion pounds, is owned on behalf of the nation during the duration of the monarch's reign and does actual not belong to the queen. The royal estate also includes the Duchies of Lancaster and Cornwall, vast private estates with a combined value of 1.3 billion pounds. These figures don't include the unknown value of extravagant royal residences such as Buckingham Palace and Windsor.
Elizabeth does, of course, have some spending money. The queen's public income, roughly based on 15 percent of the Crown Estate's annual profit, came to 37.9 million pounds in 2015. That's a 22 percent increase from two years before. In all, her personal net worth is estimated to reach $500 million.
She has personal property, as well. Her private residence in the Scottish Highlands was purchased by Queen Victoria in 1848 and covers 50,000 acres. She also owns stud farms, a fruit farm, personal art, fine jewelry and one of the world’s largest stamp collections, started by her royal relatives in the early 19th century, Forbes reported.
Prince Charles, the queen's son and heir to the throne, has his own fortune. His income was valued at 871 million pounds in March 2015.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.