WatsUp TV, ambao ni waandaaji wa WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) hatimaye wametangaza washindi walio fanikiwa kunyakuwa tuzo husika kupitia vipengele mbalimbali ambavyo ndani yake vimewekwa kwaajili ya kusukuma mbele tasnia ya utumbuizaji Afrika kuanzia muziki wenyewe na wanamuziki, watayarishaji na watengeneza video za wasanii.
Kwa ufupi washindi wametangazwa kwenye tukio lililofanyika ukumbi wa Lizzy's Sports Complex huko Accra nchini Ghana, na washindi wapatao 22 kati ya 170 wamechomoka na tuzo zao.
Ikitunukiwa tuzo ya heshima kama "African Music Video of the Year" jisongi linaloitwa "Kidogo", video ya Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania featuring P-Square ikiongozwa na mtayarishaji mahiri wa video za muziki Godfather.
Godfather ni jamaa ambaye kanyakuwa pia tuzo ya "Video Director of the Year" (Muongozaji video bora wa Mwaka) kupitia wimbo huo huo "Kidogo".
SOMA ZAIDI: ORODHA YA WASHINDI.
Best Newcomer Video of the Year
Hamonize – Bado feat. Diamond Platinium (Tanzania)
Best African Reggae Dancehall Video
Shatta Wale - Chop Kiss (Ghana)
Best Afro Pop Video
Scientific - Rotate feat. Quincy B (Liberia)
Best African Hip-hop Video
Iba One - Dokera (Mali)
Best African RnB Video
Alikiba - Aje (Tanzania)
Best African Traditional Video
Tay Grin - Chipapapa feat. 2 Baba (Malawi)
Best African Dance Video
Oudy 1er – Lokolo (Guinea)
Best African Collabo Video
Diamond - Make We Sing feat. AKA (Tanzania)
Best African Group Video
Navy Kenzo - Kamatia (Tanzania)
Best African Male Video
Diamond Platinium - Kidogo feat. P-Square (Tanzania)
Best African Female Video
Vivian Chidid – Wuyuma (Senegal)
Best African Performance
DJ Arafat - Concert a Korkogo (Cote D’Ivoire)
Best International Video
Beyonce - Formation (USA)
Best East African Video
Alikiba - Aje (Tanzania)
Best Central African Video
Ferre Gola - Tucheze feat. Voctoria Kimani (DR Congo)
Best North Africa Video
Ibtissam Tiskat – Ma Fi mn Habibi (Morroco)
Best South African Video
Casper Nyvorvest - War Ready (South Africa)
West Africa Video
DJ Arafat – Maplorly (Cote d’Ivoire)
Best African Video Director
Kidigo (Nigeria)
Best African Music of the Year
Diamond Platinium – Kidigo feat. P-Square (Tanzania)
Special Recognition Award Music Video Africa
Mr Eazi - Skin Tight feat. Efya (Nigeria)
Viewer’s Choice Awards
Designer - Panda (USA)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.