"Baada ya kuwasubirisha mashabiki wa muziki wa 'Dar Boma' na video ya 'Shaghala Baghala' iliyoanza kuchezwa kwenye TV Station za hapa Bongo mwanzoni mwa wiki hii, Leo 27, November 2015 Dar Bongo Massive tumeamua kuachia 'Shaghala Baghala' official online hivyo tunaomba suport yenu na asanteni
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment